next

سورة النصر - An-Nasr

prev

1 : 110

إِذَا جَآءَ نَصۡرُ ٱللَّهِ وَٱلۡفَتۡحُ

Utakapotimia kwako, (ewe Mtume), ushindi dhidi ya makafiri wa kikureishi na ukaikomboa Makkah. info
التفاسير: |

2 : 110

وَرَأَيۡتَ ٱلنَّاسَ يَدۡخُلُونَ فِي دِينِ ٱللَّهِ أَفۡوَاجٗا

Na ukaona watu wengi wanaingia kwenye Dini ya Allah Mtukufu makundi kwa makundi. info
التفاسير: |

3 : 110

فَسَبِّحۡ بِحَمۡدِ رَبِّكَ وَٱسۡتَغۡفِرۡهُۚ إِنَّهُۥ كَانَ تَوَّابَۢا

Yatakapotokea hayo, basi jitayarishe kukutana na Mola Wako kwa kumtakasa na kumhimidi na kumuomba msamaha kwa wingi. Kwani Yeye ni Mwingi wa kuwakubalia toba wenye kumsabihi na kumuomba msamaha, kwa kuwasamehe na kuwarehemu. info
التفاسير: |
next

سورة النصر - An-Nasr

prev
:
0:00 0:00