Translation of the meanings of the Noble Qur'an Swahili swahili_abubakr https://quranenc.com https://quranenc.com/en/browse/swahili_abubakr 2016-11-28 (v1.0.0-xml.1) https://quranenc.com/check/swahili_abubakr/v1.0.0-xml.1 ombe wa kuchoma aliyenona ili wao wale.]]> ombe aliyewaletea na kuwa wao hawamli, alikataa hilo kutoka kwao na akaingiwa na hisia ya uoga ndani ya moyo wake. Malaika wakasema, walipoona uoga uliomuingia Ibrāhīm, «Usiogope! Sisi ni Malaika wa Mola wako tumetumwa kwenda kwa watu wa Lūṭ kuwaangamiza.]]>