prev

Al-Ikhlas

next

1 : 112

قُلۡ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ

Sema, (ewe Mtume), «Yeye Ndiye Allah Mtukufu Aliyepwekeka kwa ustahiki wa kuabudiwa, uumbaji na utakatifu wa Majina na sifa zake, Asiye na mshirika katika hayo». info
التفاسير: |

2 : 112

ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ

Allah Mtukufu Peke Yake Ndiye Mwenye kukusudiwa na viumbe katika kutaka kukidhiwa haja zao. info
التفاسير: |

3 : 112

لَمۡ يَلِدۡ وَلَمۡ يُولَدۡ

Hana mtoto wala wazazi wala mke. info
التفاسير: |

4 : 112

وَلَمۡ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدُۢ

Wala hakuna yoyote katika viumbe Vyake mwenye kufanana wala kushabihiyana naye katika Majina Yake, Sifa Zake na vitendo Vyake. info
التفاسير: |
prev

Al-Ikhlas

next
:
0:00 0:00