Meningsmæssige oversættelser af Den Hellige Koran - Swahili-oversættelsen – ʿAbdullāh Muḥammad og Nāṣir Khamīs

46 : 68

أَمۡ تَسۡـَٔلُهُمۡ أَجۡرٗا فَهُم مِّن مَّغۡرَمٖ مُّثۡقَلُونَ

Au unawaomba, (ewe Mtume), hawa washirikina ujira wa kidunia kwa kuufikisha ujumbe? hivyo basi wao wakawa wamelazimishwa kubeba mzigo mzito wa gharama? info
التفاسير: |
prev

Al-Qalam

next
:
0:00 0:00