Превод на значењата на Благородниот Куран - Превод на свахили - Абдулах Мухамед и Насер Хамис

51 : 68

وَإِن يَكَادُ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ لَيُزۡلِقُونَكَ بِأَبۡصَٰرِهِمۡ لَمَّا سَمِعُواْ ٱلذِّكۡرَ وَيَقُولُونَ إِنَّهُۥ لَمَجۡنُونٞ

Kwa hakika walikaribia makafiri walipoisikia Qur’ani kukudhuru kwa jicho la uhasidi kwa kukuchukia, lau si Allah Mtukufu kukuokoa na kukuhami, na wanasema kwa matamanio yao kwamba yeye ni Mwendawazimu. info
التفاسير: |
prev

Al-Qalam

next
:
0:00 0:00