prev

Al-Kauthar

next

1 : 108

إِنَّآ أَعۡطَيۡنَٰكَ ٱلۡكَوۡثَرَ

Hakika sisi tumekupa, (ewe Nabii), kheri nyingi za dunia na Akhera, miongoni mwazo ni mto wa Kauthar ulioko Peponi, ambao pembezoni mwake ni mahema ya lulu, na mchanga wake ni miski. info
التفاسير: |

2 : 108

فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَٱنۡحَرۡ

Basi, mtakasie Mola wako ibada zako zote, na uchinje mnyama wako kwa ajili Yake, Peke Yake, pamoja na kutaja jina Lake. info
التفاسير: |

3 : 108

إِنَّ شَانِئَكَ هُوَ ٱلۡأَبۡتَرُ

Mwenye kukuchukia na kuyachukia uliyokuja nayo ya uongofu na nuru: ndiye itakayokatika athari yake, na yeye mwenyewe atakatikiwa na kila kheri. info
التفاسير: |
prev

Al-Kauthar

next
:
0:00 0:00