prev

An-Nas

1 : 114

قُلۡ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلنَّاسِ

Sema, (ewe Mtume), «Ninajilinda na kutaka hifadhi kwa mlezi wa watu, Mwenye uwezo, Peke Yake, wa kuzizuia shari za shetani». info
التفاسير: |

2 : 114

مَلِكِ ٱلنَّاسِ

Mfalme wa watu, Mwenye kuendesha mambo yao yote Anavyotaka, Aliye mkwasi wa kutowahitajia. info
التفاسير: |

3 : 114

إِلَٰهِ ٱلنَّاسِ

Mola wa watu, Ambaye hapana mwenye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Yeye. info
التفاسير: |

4 : 114

مِن شَرِّ ٱلۡوَسۡوَاسِ ٱلۡخَنَّاسِ

Najilinda kwake kutokana na maudhi ya shetani ambaye huwatia watu wasiwasi pale wanapoghafilika kumtaja Allah, na hujificha pale wanapomtaja Allah Mtukufu. info
التفاسير: |

5 : 114

ٱلَّذِي يُوَسۡوِسُ فِي صُدُورِ ٱلنَّاسِ

Mwenye kupenyeza shari na shaka kwenye vifua vya watu. info
التفاسير: |

6 : 114

مِنَ ٱلۡجِنَّةِ وَٱلنَّاسِ

Miongoni mwa mashetani wa kijini na kibinadamu. info
التفاسير: |
prev

An-Nas

:
0:00 0:00