Fassarar Ma'anonin Alqura'ni - الترجمة السواحلية - علي محسن البرواني * - Teburin Bayani kan wasu Fassarori

XML CSV Excel API
Please review the Terms and Policies

Fassarar Ma'anoni Aya: (42) Sura: Suratu Al'an'am
وَلَقَدۡ أَرۡسَلۡنَآ إِلَىٰٓ أُمَمٖ مِّن قَبۡلِكَ فَأَخَذۡنَٰهُم بِٱلۡبَأۡسَآءِ وَٱلضَّرَّآءِ لَعَلَّهُمۡ يَتَضَرَّعُونَ
Na kwa yakini tulipeleka Mitume kwa kaumu zilizo kuwa kabla yako, kisha tukazitia katika dhiki na mashaka ili zipate kunyenyekea.
Yasikudhiki, ewe Nabii, yanao kupata kwa watu wako. Kwani Sisi tuliwapeleka Mitume kabla yako kwa kaumu nyingi kabla ya umma wako huu, nao wakawaambia ni waongo. Nasi tukawapatiliza kwa adhabu zilizo wateremkia, na yaliyo wadhuru miili yao, ili walau wanyenyekee na warejee kwa Mwenyezi Mungu.
Tafsiran larabci:
 
Fassarar Ma'anoni Aya: (42) Sura: Suratu Al'an'am
Teburin Jerin Sunayen Surori Lambar shafi
 
Fassarar Ma'anonin Alqura'ni - الترجمة السواحلية - علي محسن البرواني - Teburin Bayani kan wasu Fassarori

ترجمة معاني القرآن الكريم إلى اللغة السواحلية، ترجمها علي محسن البرواني.

Rufewa