47 : 68

أَمۡ عِندَهُمُ ٱلۡغَيۡبُ فَهُمۡ يَكۡتُبُونَ

Au wao wana ujuzi wa ghaibu? wakawa wanaandika kutokana nao kile wanachokiamulia nafsi zao kwamba wao wana cheo bora zaidi kwa Allah Mtukufu kuliko wale wenye kumuamini? info
التفاسير: |
prev

Al-Qalam

next
:
0:00 0:00