Terjemahan makna Alquran Alkarim - Terjemahan Berbahasa Sawahili - Ali Muhsin Al-Barwani * - Daftar isi terjemahan

XML CSV Excel API
Please review the Terms and Policies

Terjemahan makna Ayah: (43) Surah: Surah Fāṭir
ٱسۡتِكۡبَارٗا فِي ٱلۡأَرۡضِ وَمَكۡرَ ٱلسَّيِّيِٕۚ وَلَا يَحِيقُ ٱلۡمَكۡرُ ٱلسَّيِّئُ إِلَّا بِأَهۡلِهِۦۚ فَهَلۡ يَنظُرُونَ إِلَّا سُنَّتَ ٱلۡأَوَّلِينَۚ فَلَن تَجِدَ لِسُنَّتِ ٱللَّهِ تَبۡدِيلٗاۖ وَلَن تَجِدَ لِسُنَّتِ ٱللَّهِ تَحۡوِيلًا
Kwa kutakabari kwao katika nchi, na kufanya vitimbi vya uovu. Na vitimbi viovu havimsibu ila mwenyewe aliye vifanya. Hebu hawangojei yalio wasibu watu wa kale? Basi hutapata mabadiliko katika mtindo wa Mwenyezi Mungu. Wala hutapata mageuko katika mwendo wa Mwenyezi Mungu.
Wameikimbia Haki kwa kupandwa na kiburi katika nchi, na kuona ari kumnyenyeka Mtume na Dini aliyo kuja nayo. Wakapanga njama za vitimbi viovu. Na ni Shetani ndiye aliye waongoza hata wakaiacha Dini na wakaingia kumpiga vita Mtume. Na wala madhara ya vitimbivi viovu hayampati mtu ila yule yule aliye vipanga. Basi watu hao wanangojea nini isipo kuwa sunna ya Mwenyezi Mungu iliyo wasibu wale walio watangulia? Basi hutoipata njia ya Mwenyezi Mungu anavyo yafanyia mataifa ibadilike, kama wanavyo tumai hawa wapangaji vitimbi yawe kinyume na walio watangulia. Na kabisa hutopata mwendo wa Mwenyezi Mungu ubadilishe njia ulio elekea.
Tafsir berbahasa Arab:
 
Terjemahan makna Ayah: (43) Surah: Surah Fāṭir
Daftar surah Nomor Halaman
 
Terjemahan makna Alquran Alkarim - Terjemahan Berbahasa Sawahili - Ali Muhsin Al-Barwani - Daftar isi terjemahan

Terjemahan Makna Al-Qur`ān Al-Karīm ke Bahasa Sawahili oleh Ali Muhsin Al-Barwani

Tutup