19 : 15

وَٱلۡأَرۡضَ مَدَدۡنَٰهَا وَأَلۡقَيۡنَا فِيهَا رَوَٰسِيَ وَأَنۢبَتۡنَا فِيهَا مِن كُلِّ شَيۡءٖ مَّوۡزُونٖ

Na ardhi tumeinyosha ikawa kunjufu, tukaweka juu yake majabali yenye kuiimarisha, tukaotesha kila aina ya mimea ambayo waja wanaihitajia kwa kipimo kinachojulikana. info
التفاسير: |
prev

Al-hijr

next
:
0:00 0:00