قرآن کریم کے معانی کا ترجمہ - سواحلی ترجمہ - علی محسن بروانی نے کیا ہے۔ * - ترجمے کی لسٹ

XML CSV Excel API
Please review the Terms and Policies

معانی کا ترجمہ آیت: (159) سورت: سورۂ انعام
إِنَّ ٱلَّذِينَ فَرَّقُواْ دِينَهُمۡ وَكَانُواْ شِيَعٗا لَّسۡتَ مِنۡهُمۡ فِي شَيۡءٍۚ إِنَّمَآ أَمۡرُهُمۡ إِلَى ٱللَّهِ ثُمَّ يُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُواْ يَفۡعَلُونَ
Hakika walio igawa Dini yao na wakawa makundi makundi, huna ukhusiano nao wowote. Bila ya shaka shauri yao iko kwa Mwenyezi Mungu; kisha atawaambia yale waliyo kuwa wakiyatenda.
Hakika walio igawanya Dini moja ya Haki kwa itikadi za uwongo, na sharia za upotovu, na wakawa kwa sababu hiyo makundi mbali mbali; unawadhania ni wamoja, kumbe nyoyo zao zimekhitalifiana, wewe huna jukumu kwa kufarikiana kwao na uasi wao, wala wewe huwezi kuwahidi. Wewe hulazimiki ila kufikisha Ujumbe. Na Mwenyezi Mungu peke yake ndiye Mwenye kumiliki mambo yao kwa kuwaongoa na kuwalipa, kisha awatajie Siku ya Kiyama yale waliyo kuwa wakiyafanya duniani na awalipe kwayo.
عربی تفاسیر:
 
معانی کا ترجمہ آیت: (159) سورت: سورۂ انعام
سورتوں کی لسٹ صفحہ نمبر
 
قرآن کریم کے معانی کا ترجمہ - سواحلی ترجمہ - علی محسن بروانی نے کیا ہے۔ - ترجمے کی لسٹ

قرآن کریم کے معانی کا سواحلی ترجمہ- ترجمہ علی محسن بروانی نے کیا ہے۔

بند کریں