2 : 62

هُوَ ٱلَّذِي بَعَثَ فِي ٱلۡأُمِّيِّـۧنَ رَسُولٗا مِّنۡهُمۡ يَتۡلُواْ عَلَيۡهِمۡ ءَايَٰتِهِۦ وَيُزَكِّيهِمۡ وَيُعَلِّمُهُمُ ٱلۡكِتَٰبَ وَٱلۡحِكۡمَةَ وَإِن كَانُواْ مِن قَبۡلُ لَفِي ضَلَٰلٖ مُّبِينٖ

Allah Mtukufu, kutakasika na kila upungufu ni Kwake, Ndiye Aliyetuma kwa Waarabu, wasiojua kusoma wala kuwa na kitabu wala kumbukumbu zozote za utume, Mtume aliyetokana na wao aliyetumwa kwa watu wote, awasomee Qur’ani, na awatakase na itikadi mbovu na tabia mbaya, na awafundishe Qur’ani na Sunnah. Na wao, kwa kweli, tangu alipokuwa hajatumwa mtume kwao, walikuwa kwenye ukengeukaji ulio wa wazi, kwa kuwa kando na haki. Na Allah Mtukufu, ametakasika na kila upungufu. info
التفاسير: |
prev

Al-Jumu'ah

next
:
0:00 0:00