6 : 62

قُلۡ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ هَادُوٓاْ إِن زَعَمۡتُمۡ أَنَّكُمۡ أَوۡلِيَآءُ لِلَّهِ مِن دُونِ ٱلنَّاسِ فَتَمَنَّوُاْ ٱلۡمَوۡتَ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ

Sema, (ewe Mtume), uwaambie wale ambao wameshikamana na desturi za kiyahudi zilizopotoka, «Mkidai kiurongo kwamba nyinyi ndio vipenzi vya Allah Mtukufu na si watu wengine, basi tamanini kufa iwapo nyinyi ni wakweli katika madai yenu kuwa Allah Mtukufu Anawapenda nyinyi». info
التفاسير: |
prev

Al-Jumu'ah

next
:
0:00 0:00