Traduction des sens du Noble Coran - Traduction Swahili - Ali Muhsin al-Barwani * - Lexique des traductions

XML CSV Excel API
Please review the Terms and Policies

Traduction des sens Verset: (18) Sourate: FÂTIR
وَلَا تَزِرُ وَازِرَةٞ وِزۡرَ أُخۡرَىٰۚ وَإِن تَدۡعُ مُثۡقَلَةٌ إِلَىٰ حِمۡلِهَا لَا يُحۡمَلۡ مِنۡهُ شَيۡءٞ وَلَوۡ كَانَ ذَا قُرۡبَىٰٓۗ إِنَّمَا تُنذِرُ ٱلَّذِينَ يَخۡشَوۡنَ رَبَّهُم بِٱلۡغَيۡبِ وَأَقَامُواْ ٱلصَّلَوٰةَۚ وَمَن تَزَكَّىٰ فَإِنَّمَا يَتَزَكَّىٰ لِنَفۡسِهِۦۚ وَإِلَى ٱللَّهِ ٱلۡمَصِيرُ
Na mbebaji habebi mzigo wa mwingine. Na aliye topewa na mzigo wake akiomba uchukuliwe hautachukuliwa hata kidogo, na angamwomba jamaa yake. Hakika wewe unawaonya wale wanao mcha Mola wao Mlezi kwa ghaibu, na wanashika Swala. Na anaye jitakasa, basi anajitakasa kwa ajili ya nafsi yake. Na marejeo ni kwa Mwenyezi Mungu.
Wala nafsi yenye dhambi haitobeba dhambi za mwenginewe. Na mtu aliye kuwa taabani kwa mzigo wake wa madhambi, akimwomba mwenginewe amchukulie, huyo mwengine hatomchukulia hata kidogo, hata angeli kuwa ni jamaa yake. Haya ni kwa kuwa kila mtu kashughulika na yake. Na ewe Nabii! Usihuzunike kwa inadi ya watu wako. Kwani hakika maonyo yako yanawafaa wale ambao wanamkhofu Mola wao Mlezi peke yao katika siri, na wakashika Swala kwa mujibu inavyo faa. Na mwenye kujisafisha na uchafu wa madhambi, basi anajisafisha kwa faida ya nafsi yake. Na marejeo yote mwishoni ni kwa Mwenyezi Mungu, na Yeye atamtendea kila mtu kwa anavyo stahiki. Rejea maoni ya ki-ilimu juu ya Aya 7 Surat Azzumar: Na mbebaji habebi mzigo wa mwengine.
Les exégèses en arabe:
 
Traduction des sens Verset: (18) Sourate: FÂTIR
Lexique des sourates Numéro de la page
 
Traduction des sens du Noble Coran - Traduction Swahili - Ali Muhsin al-Barwani - Lexique des traductions

Traduction des sens du noble Coran en langue Swahili, par Ali Muhsin al-Barwani.

Fermeture