38 : 43

حَتَّىٰٓ إِذَا جَآءَنَا قَالَ يَٰلَيۡتَ بَيۡنِي وَبَيۡنَكَ بُعۡدَ ٱلۡمَشۡرِقَيۡنِ فَبِئۡسَ ٱلۡقَرِينُ

Mpaka pale atakapotujia yule aliyeupa mgongo utajo wa Allah Mtukufu pamoja na yule mwenzake Shetani, ili kuhesabiwa na kulipwa, atasema yule mwenye kupa mgongo kumwambia mwenzake, «Natamani lau baina yangu mimi na wewe pana umbali wa baina ya Mashariki na Magharibi, kwani rafiki mbaya zaidi kwangu ni wewe kwa kuwa umenipoteza». info
التفاسير: |
prev

Az-Zukhruf

next
:
0:00 0:00