クルアーンの対訳 - スワヒリ語対訳 - Ali Muhsen Alberwany * - 対訳の目次

XML CSV Excel API
Please review the Terms and Policies

対訳 節: (7) 章: ユーヌス章
إِنَّ ٱلَّذِينَ لَا يَرۡجُونَ لِقَآءَنَا وَرَضُواْ بِٱلۡحَيَوٰةِ ٱلدُّنۡيَا وَٱطۡمَأَنُّواْ بِهَا وَٱلَّذِينَ هُمۡ عَنۡ ءَايَٰتِنَا غَٰفِلُونَ
Hakika wasio taraji kukutana nasi, na wakaridhia maisha ya dunia na wakatua nayo, na walio ghafilika na Ishara zetu!
Hakika wale wasio amini kufufuliwa na kukutana na Mwenyezi Mungu Siku ya Mwisho, na wakaamini - kwa kudhani tu - kuwa uhai wa duniani ndio mwisho wao na hapana baada yake uhai mwingine, na wakatulia nyoyo zao kwa hayo, na wala wasijue nini kitakuwa baada yake, na wakaghafilika na Ishara za Mwenyezi Mungu juu ya kufufuliwa na kuhisabiwa,
アラビア語 クルアーン注釈:
 
対訳 節: (7) 章: ユーヌス章
章名の目次 ページ番号
 
クルアーンの対訳 - スワヒリ語対訳 - Ali Muhsen Alberwany - 対訳の目次

クルアーン・スワヒリ語対訳 - Ali Muhsen Alberwany

閉じる