クルアーンの対訳 - スワヒリ語対訳 - Ali Muhsen Alberwany * - 対訳の目次

XML CSV Excel API
Please review the Terms and Policies

対訳 節: (18) 章: 夜の旅章
مَّن كَانَ يُرِيدُ ٱلۡعَاجِلَةَ عَجَّلۡنَا لَهُۥ فِيهَا مَا نَشَآءُ لِمَن نُّرِيدُ ثُمَّ جَعَلۡنَا لَهُۥ جَهَنَّمَ يَصۡلَىٰهَا مَذۡمُومٗا مَّدۡحُورٗا
Anaye taka yapitayo upesi upesi, tutafanya haraka kumletea hapa hapa tunayo yataka kwa tumtakaye. Kisha tumemwekea Jahannamu; ataingia humo hali ya kuwa ni mwenye kulaumiwa na kufurushwa.
Mwenye kutaka starehe za dunia hii ipitayo na akazitumikia kwa kutafutia kisingizio, wala asiwe na yakini na miadi, na wala asingojee malipo ya Akhera, tutamletea haraka haraka tuyatakayo ya duniani kwa ukunjufu na wasaa. Haya ni kwa tumtakaye kumletea haraka. Kisha tutamuandalia kwa Akhera Jahannamu ahilikike kwa joto lake, naye hali awe ni mwenye kushutumiwa kwa aliyo yatenda, mwenye kutengwa mbali na rehema ya Mwenyezi Mungu.
アラビア語 クルアーン注釈:
 
対訳 節: (18) 章: 夜の旅章
章名の目次 ページ番号
 
クルアーンの対訳 - スワヒリ語対訳 - Ali Muhsen Alberwany - 対訳の目次

クルアーン・スワヒリ語対訳 - Ali Muhsen Alberwany

閉じる