クルアーンの対訳 - スワヒリ語対訳 - Ali Muhsen Alberwany * - 対訳の目次

XML CSV Excel API
Please review the Terms and Policies

対訳 節: (19) 章: 夜の旅章
وَمَنۡ أَرَادَ ٱلۡأٓخِرَةَ وَسَعَىٰ لَهَا سَعۡيَهَا وَهُوَ مُؤۡمِنٞ فَأُوْلَٰٓئِكَ كَانَ سَعۡيُهُم مَّشۡكُورٗا
Na anaye itaka Akhera, na akazifanyia juhudi a'mali zake, naye ni Muumini, basi hao juhudi yao itakuwa ni ya kushukuriwa.
Na mwenye kuitaka Akhera kwa vitendo vyake, naye akawa navyo hivyo vitendo, na akawa anamuamini Mwenyezi Mungu na malipo yake, basi watu kama hao vitendo vyao vitakubaliwa na Mwenyezi Mungu na watapata malipo kwa ajili yake.
アラビア語 クルアーン注釈:
 
対訳 節: (19) 章: 夜の旅章
章名の目次 ページ番号
 
クルアーンの対訳 - スワヒリ語対訳 - Ali Muhsen Alberwany - 対訳の目次

クルアーン・スワヒリ語対訳 - Ali Muhsen Alberwany

閉じる