86 : 43

وَلَا يَمۡلِكُ ٱلَّذِينَ يَدۡعُونَ مِن دُونِهِ ٱلشَّفَٰعَةَ إِلَّا مَن شَهِدَ بِٱلۡحَقِّ وَهُمۡ يَعۡلَمُونَ

Na hawamiliki, wale ambao washirikina wanawaabudu, uwezo wa kumuombea yoyote mbele ya Allah Mtukufu, isipokuwa wale waliyoishuhudia haki na wakakubali upweke wa Allah Mtukufu na unabii wa Muhammad, (rehema za Allah Mtukufu na amani zimshukie), na wakawa na yakini ya uhakika wa kile walichokikubali na kukitolea ushahidi. info
التفاسير: |
next

Az-Zukhruf

prev
:
0:00 0:00