قرآن کریم کے معانی کا ترجمہ - سواحلی ترجمہ - عبد اللہ محمد اور ناصر خمیس

43 : 68

خَٰشِعَةً أَبۡصَٰرُهُمۡ تَرۡهَقُهُمۡ ذِلَّةٞۖ وَقَدۡ كَانُواْ يُدۡعَوۡنَ إِلَى ٱلسُّجُودِ وَهُمۡ سَٰلِمُونَ

Yatakuwa yameinama macho yao, hawayainui, wamefunikwa na unyonge mkubwa kutokana na adhabu ya Allah Mtukufu, na hali wao walikuwa ulimwenguni wakiitwa kuswali na kumuabudu Allah Mtukufu wakiwa na nguvu zao na uwezo wa kufanya hivyo, wakawa hawasujudu kwa kiburi na kujiona wakubwa. info
التفاسير: |
next

Al-Qalam

prev
:
0:00 0:00