《古兰经》译解 - 斯瓦希里语翻译-阿里·穆哈森·伯瓦尼 * - 译解目录

XML CSV Excel API
Please review the Terms and Policies

含义的翻译 段: (127) 章: 艾奈尔姆
۞ لَهُمۡ دَارُ ٱلسَّلَٰمِ عِندَ رَبِّهِمۡۖ وَهُوَ وَلِيُّهُم بِمَا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ
Hao watapata nyumba ya salama kwa Mola Mlezi wao. Naye ndiye Rafiki Mlinzi wao kwa sababu ya waliyo kuwa wakiyatenda.
Na hawa wanao kumbuka na wanao amini watapata Nyumba ya Amani, nayo ndiyo Pepo. Nao watakuwa chini ya ulinzi na urafiki wa Mwenyezi Mungu na mapenzi yake na nusra yake, kwa sababu ya mambo ya kheri waliyo yatenda duniani.
阿拉伯语经注:
 
含义的翻译 段: (127) 章: 艾奈尔姆
章节目录 页码
 
《古兰经》译解 - 斯瓦希里语翻译-阿里·穆哈森·伯瓦尼 - 译解目录

古兰经斯瓦希里语译解,阿里·穆哈森·伯瓦尼翻译

关闭