《古兰经》译解 - 斯瓦希里语翻译-阿里·穆哈森·伯瓦尼 * - 译解目录

XML CSV Excel API
Please review the Terms and Policies

含义的翻译 段: (31) 章: 艾奈尔姆
قَدۡ خَسِرَ ٱلَّذِينَ كَذَّبُواْ بِلِقَآءِ ٱللَّهِۖ حَتَّىٰٓ إِذَا جَآءَتۡهُمُ ٱلسَّاعَةُ بَغۡتَةٗ قَالُواْ يَٰحَسۡرَتَنَا عَلَىٰ مَا فَرَّطۡنَا فِيهَا وَهُمۡ يَحۡمِلُونَ أَوۡزَارَهُمۡ عَلَىٰ ظُهُورِهِمۡۚ أَلَا سَآءَ مَا يَزِرُونَ
Hakika wamekhasirika walio kanusha kukutana na Mwenyezi Mungu, mpaka ilipo wajia Saa kwa ghafla, wakasema: Ole wetu kwa tuliyo yapuuza! Nao watabeba mizigo yao juu ya migongo yao. Ni maovu hayo wanayo yabeba.
Hakika wamekhasiri walio kanya kukutana na Mwenyezi Mungu kwa ajili ya hisabu na malipo ya Siku ya Kiyama, na wakaendelea na kukanusha kwao mpaka yalipo wafuma mambo ya Siku ya Kiyama wakajuta na wakasema: Ole wetu (yaani msiba wetu) kwa kupuuza kwetu kuifuata Haki huko duniani! Nao siku hiyo watakuwa wanaanguka kwa kuemewa na uzito wa dhambi zao! Ni mabaya mno hayo madhambi wanayo yabeba!
阿拉伯语经注:
 
含义的翻译 段: (31) 章: 艾奈尔姆
章节目录 页码
 
《古兰经》译解 - 斯瓦希里语翻译-阿里·穆哈森·伯瓦尼 - 译解目录

古兰经斯瓦希里语译解,阿里·穆哈森·伯瓦尼翻译

关闭