Check out the new design

《古兰经》译解 - 斯瓦希里语翻译 - 拉瓦德翻译中心。 * - 译解目录


含义的翻译 章: 阿迪亚特   段:

Al-Aadiyat

وَٱلۡعَٰدِيَٰتِ ضَبۡحٗا
Ninaapa kwa farasi wendao mbio wakipumua.
阿拉伯语经注:
فَٱلۡمُورِيَٰتِ قَدۡحٗا
Na wakitoa moto kwa kupiga kwato zao chini.
阿拉伯语经注:
فَٱلۡمُغِيرَٰتِ صُبۡحٗا
Wakishambulia wakati wa asubuhi.
阿拉伯语经注:
فَأَثَرۡنَ بِهِۦ نَقۡعٗا
Huku wakitimua vumbi.
阿拉伯语经注:
فَوَسَطۡنَ بِهِۦ جَمۡعًا
Na wakijitoma kati ya kundi.
阿拉伯语经注:
إِنَّ ٱلۡإِنسَٰنَ لِرَبِّهِۦ لَكَنُودٞ
Hakika mwanadamu ni mtovu wa fadhila kwa Mola wake Mlezi!
阿拉伯语经注:
وَإِنَّهُۥ عَلَىٰ ذَٰلِكَ لَشَهِيدٞ
Na hakika yeye mwenyewe bila ya shaka ni shahidi wa hayo!
阿拉伯语经注:
وَإِنَّهُۥ لِحُبِّ ٱلۡخَيۡرِ لَشَدِيدٌ
Naye hakika bila ya shaka ana nguvu za kupenda mali!
阿拉伯语经注:
۞ أَفَلَا يَعۡلَمُ إِذَا بُعۡثِرَ مَا فِي ٱلۡقُبُورِ
Kwani hajui watakapofufuliwa waliomo makaburini?
阿拉伯语经注:
وَحُصِّلَ مَا فِي ٱلصُّدُورِ
Na yakakusanywa yaliomo vifuani?
阿拉伯语经注:
إِنَّ رَبَّهُم بِهِمۡ يَوۡمَئِذٖ لَّخَبِيرُۢ
Kuwa hakika Mola wao Mlezi siku hiyo bila ya shaka atakuwa na habari zao wote!
阿拉伯语经注:
 
含义的翻译 章: 阿迪亚特
章节目录 页码
 
《古兰经》译解 - 斯瓦希里语翻译 - 拉瓦德翻译中心。 - 译解目录

由拉瓦德翻译中心团队与拉布瓦 الدعوة协会和伊斯兰内容服务协会合作翻译。

关闭