Check out the new design

《古兰经》译解 - 斯瓦希里语翻译 - 拉瓦德翻译中心。 * - 译解目录


含义的翻译 段: (8) 章: 拜格勒
وَمِنَ ٱلنَّاسِ مَن يَقُولُ ءَامَنَّا بِٱللَّهِ وَبِٱلۡيَوۡمِ ٱلۡأٓخِرِ وَمَا هُم بِمُؤۡمِنِينَ
Na katika watu, wapo wasemao: Tumemwamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, wala wao si wenye kuamini.[1]
[1] Alipowaeleza Waumini mwanzoni mwa sura hii kwa aya nne (kuanzia aya ya pili hadi ya tano), kisha akabainisha hali ya makafiri kwa aya mbili (ya sita na saba). Mwenyezi Mungu Mtukufu akaanza kueleza hali ya wanafiki wanaodhihirisha imani na kuficha ukafiri. Na kwa kuwa jambo lao huwa linawachanganya watu wengi, akarefusha mno katika kuwataja kwa sifa zao nyingi (katika aya kumi na tatu). (Tafsir Ibn Kathir)
阿拉伯语经注:
 
含义的翻译 段: (8) 章: 拜格勒
章节目录 页码
 
《古兰经》译解 - 斯瓦希里语翻译 - 拉瓦德翻译中心。 - 译解目录

由拉瓦德翻译中心团队与拉布瓦 الدعوة协会和伊斯兰内容服务协会合作翻译。

关闭