Check out the new design

Traduction des sens du Noble Coran - La traduction swahilie - Centre de traduction Rawwâd * - Lexique des traductions


Traduction des sens Verset: (117) Sourate: Al Baqarah
بَدِيعُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِۖ وَإِذَا قَضَىٰٓ أَمۡرٗا فَإِنَّمَا يَقُولُ لَهُۥ كُن فَيَكُونُ
Yeye ndiye Muumba wa mbingu na ardhi pasina mfano wa awali; na anapotaka jambo, basi Yeye kwa hakika huliambia tu: Kuwa! Nalo huwa.[1]
[1] Na kauli yake, "Na anapotaka jambo, basi Yeye kwa hakika huliambia tu: Kuwa! Nalo huwa," ni jawabu kwa dhana potofu ya Wakristo kwamba Mwenyezi Mungu ana mwana; ati kwa sababu kupatikana kwa Masihi bila ya baba ni dalili ya kuwa yeye ni mwana wa Mwenyezi Mungu. Kwa hivyo, Mwenyezi Mungu Mtukufu akaweka wazi kwamba kuunda vitu bila ya kutokana na kitu ni ajabu zaidi kuliko hilo la Masihi (kuwa na mama bila baba). (Tafsir Attahrir wa Attanwir cha Ibn 'Aashur)
Les exégèses en arabe:
 
Traduction des sens Verset: (117) Sourate: Al Baqarah
Lexique des sourates Numéro de la page
 
Traduction des sens du Noble Coran - La traduction swahilie - Centre de traduction Rawwâd - Lexique des traductions

L'équipe du Centre Rouwwâd At-Tarjamah (Les Pionniers de la Traduction) l'a traduite.

Fermeture