Prijevod značenja Plemenitog Kur'ana - Prevod na svahili jezik - Abdullah Muhammed i Nasir Hamis

52 : 15

إِذۡ دَخَلُواْ عَلَيۡهِ فَقَالُواْ سَلَٰمٗا قَالَ إِنَّا مِنكُمۡ وَجِلُونَ

Pindi walipoingia kwake na wakamuamkia kwa kusema, «Amani.» Hapo naye akawarudishia maamkizi ya amani. Kisha akawaletea chakula wakakataa kukila, na hapo akasema, «Sisi ni wenye hofu na nyinyi». info
التفاسير: |
prev

Al-hijr

next
:
0:00 0:00